EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Kunguni wa jela wanasambazwa mitaani na Askari magerezaNa watakubali!utatafutwa
Kunguni ndo nini mkuu?Aisee hata kama unapicha mojawapo ya magereza yetu nakutahadharisha usiiweke humu kunguni zitatambaa mpaka kutufikia kupitia simu zetu
Ahaa nenda kwenye gereza lililo karibu na wewe waambie nataka kuwafahamu kunguni watakupa msaadaKunguni ndo nini mkuu?
ππAhaa nenda kwenye gereza lililo karibu na wewe waambie nataka kuwafahamu kunguni watakupa msaada
Duniani kote jela ni kwa ajili ya masikiniHata jela zetu kama vigogo wangekuwa nao wanafungwa wangeyaboresha kama haya
shida jela zetu waafrica zipo kwa ajili ya raia maskini tu.
Kama hizo jela hapo kwenye picha ni kwa ajili ya maskinDuniani kote jela ni kwa ajili ya masikini
Huna hata kapicha kamoja hapo kwa makataba yako mzee wa makamo?kutana na segerea ni balaaa
Hapo Denmark hiyo ni hoteli imegeuzwa jela ?