Baadhi ya majina humu JF are very interesting 😂

Baadhi ya majina humu JF are very interesting 😂

Evelyn Salt , kuna movie inaitwa Salt ya Angelina Jolie,humu alitumia jina hili! Je, ni kweli?? Unamkubali sana huyu bibie??

Mie hata sio mpenzi wa movie....
Hii Id alinifungilia shemeji yenu enzi hizo, akaipa na hili jina....itakua alimuelewa Angeline.
 
Back
Top Bottom