Baadhi ya majina ya Kisukuma na maana zake

Kuna jamaa yangu anaitwa MAYALA- duuh kama wamempa laana kwenye hilo jina ni kuumwa kila siku ntamshahuru abadili jina duuh ndio najua leo maana ya mayala kama ni njaa
 
Naomba
 
Please kindly assist me with the meaning of the above words in either Kiswahili or in English. Thank you.
 
Kashinje....mtoto aliyezaliwa kwa kutanguliza miguu badala ya kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…