Baadhi ya makabila yanamila hii sijuwi inamaana gani.

Baadhi ya makabila yanamila hii sijuwi inamaana gani.

Michael mbano

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2022
Posts
820
Reaction score
570
Baada ya mazishi hutangaza pale makaburini tanga ndg litakuwa kesho na siku hiyo watanyoa ndg,jamaa na marafiki.Swali langu kule kunyoa kuna maana gani?Wajuvi karibuni.
 
Maombolezo.

Mila nyingine za Kiafrika ni nzuri na ni sahihi.

Ila hizi dini zilizokuja na ngamia au ngalawa ndio zinaharibu akili mfano wa aliyeharibiwa ni mtoa mada.
 
Kunyoa nywele ni sehemu tu. Majumuisho yake ni kuwa kama kifo cha marehemu kina mkono wa binadamu, basi wawaepushie wanafamilia wanaobaki
 
Nilikuwa naona baadhi za rafiki zangu niliosoma nao primary wakinyolewa pale wanapopata msiba ila sikuwahi kuuliza ni kwanini.
 
Back
Top Bottom