Michael mbano JF-Expert Member Joined Apr 4, 2022 Posts 820 Reaction score 570 May 20, 2022 #1 Baada ya mazishi hutangaza pale makaburini tanga ndg litakuwa kesho na siku hiyo watanyoa ndg,jamaa na marafiki.Swali langu kule kunyoa kuna maana gani?Wajuvi karibuni.
Baada ya mazishi hutangaza pale makaburini tanga ndg litakuwa kesho na siku hiyo watanyoa ndg,jamaa na marafiki.Swali langu kule kunyoa kuna maana gani?Wajuvi karibuni.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 May 20, 2022 #2 Subiri Mpira Uishe Wanakuja
Spartacus boy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2020 Posts 1,727 Reaction score 3,464 May 20, 2022 #3 Maombolezo. Mila nyingine za Kiafrika ni nzuri na ni sahihi. Ila hizi dini zilizokuja na ngamia au ngalawa ndio zinaharibu akili mfano wa aliyeharibiwa ni mtoa mada.
Maombolezo. Mila nyingine za Kiafrika ni nzuri na ni sahihi. Ila hizi dini zilizokuja na ngamia au ngalawa ndio zinaharibu akili mfano wa aliyeharibiwa ni mtoa mada.
K kyanyangwe JF-Expert Member Joined Oct 31, 2018 Posts 1,275 Reaction score 3,316 May 20, 2022 #4 Kind of maombolezo hivi
Vangigula JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 852 Reaction score 2,739 May 20, 2022 #5 Kunyoa nywele ni sehemu tu. Majumuisho yake ni kuwa kama kifo cha marehemu kina mkono wa binadamu, basi wawaepushie wanafamilia wanaobaki
Kunyoa nywele ni sehemu tu. Majumuisho yake ni kuwa kama kifo cha marehemu kina mkono wa binadamu, basi wawaepushie wanafamilia wanaobaki
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 May 21, 2022 #6 Nilikuwa naona baadhi za rafiki zangu niliosoma nao primary wakinyolewa pale wanapopata msiba ila sikuwahi kuuliza ni kwanini.
Nilikuwa naona baadhi za rafiki zangu niliosoma nao primary wakinyolewa pale wanapopata msiba ila sikuwahi kuuliza ni kwanini.