Baadhi ya Makampuni Kenya yageukia nchi Jirani kuagiza Dola kutokana na uhaba wa fedha hizo

Baadhi ya Makampuni Kenya yageukia nchi Jirani kuagiza Dola kutokana na uhaba wa fedha hizo

Hiyo yote ni kazi ya Magufuli na fiscal discipline tulioifwata kwa miaka 5 na ndio maana leo hii Kenya wanakuja kuomba msaada Tanzania lkn after 5 years from now itakuwa kinyume chake.

Tanzania haijawahi kuizidi Kenya kwa kiuchumi tangia Uhuru na wala Kenya haijawaji kuitaji msaada wa Kiuchumi kutoka Tanzania popote pale kabla ya Magufuli kuwa raisi wa nchi.

Gone too soon!
Hijui unachoongea hata kidogo! Unajua mwaka gani Kenya iliizidi Tanzania Kwa GDP? Na sitoi jibu hapa! Kasome!

Mxm!
 
Ma mods ya Siku hizi ni zero brain, contents inasema kampuni za Kenya zimegeukia Tanzania wao wanabadili heading eti Nchi jirani,mnakera sana kubadili hovyo heading,hii forum imekuwa ya kishamba sana na boring,
 
Hiyo yote ni kazi ya Magufuli na fiscal discipline tulioifwata kwa miaka 5 na ndio maana leo hii Kenya wanakuja kuomba msaada Tanzania lkn after 5 years from now itakuwa kinyume chake.

Tanzania haijawahi kuizidi Kenya kwa kiuchumi tangia Uhuru na wala Kenya haijawaji kuitaji msaada wa Kiuchumi kutoka Tanzania popote pale kabla ya Magufuli kuwa raisi wa nchi.

Gone too soon!
Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe maana wakati Tz tupo hoi walitusaidia?
 
Sio kweli; wakati wa Nyerere miaka ya 60's to 70's mwanzoni na brief wakati wa Mkapa to be precisely kati ya 1999-2004 tuliwazidi Kenya na hata Ethiopia kwa GDP. Hata ukigoogle tu utaona.

Wakati wa Magufuli ndipo Kenya walitupiga gap kubwa sana la GDP kuliko wakati wowote katika historia ya hizi nchi mbili. Hao Kenya wakati wa Nyerere kuna kipindi hata per capita tuliwapita kabla siasa za ujamaa hazijashika hatamu.

Namekuwekea hii clip ya kuonesha gdp changes ya baadhi nchi za EA na jirani zetu uone mwenyewe. (Kuanzia 1992 mpaka itavyokuwa 2025)

View attachment 2536102

Katika vitu ambavyo ni sawa na kujilisha upepo na kushangilia maneno matupu ni GDP ya Kenya. Hakuna siku imekuwa ikiakisi uhalisia wa maisha ya wananchi wao.
 
Wazee wa GDP mkuje MK254
FB_IMG_1678460694663.jpg
 
Tanzania nayo haina reserve zakutosha ukienda bank unataka dollar 10000 hawakupi
 
Kenya ina reserve ya kutosha miezi 4 habari zingine ni za kupotosha

The usable foreign exchange reserves remained adequate at USD 6,566 million (3.67 months of import cover) as at March 9. This meets the CBK’s statutory requirement to endeavour to maintain at least 4 months of import cover.
FB_IMG_16784662595817186.jpg
 
Back
Top Bottom