muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,627
- 4,445
Hijui unachoongea hata kidogo! Unajua mwaka gani Kenya iliizidi Tanzania Kwa GDP? Na sitoi jibu hapa! Kasome!Hiyo yote ni kazi ya Magufuli na fiscal discipline tulioifwata kwa miaka 5 na ndio maana leo hii Kenya wanakuja kuomba msaada Tanzania lkn after 5 years from now itakuwa kinyume chake.
Tanzania haijawahi kuizidi Kenya kwa kiuchumi tangia Uhuru na wala Kenya haijawaji kuitaji msaada wa Kiuchumi kutoka Tanzania popote pale kabla ya Magufuli kuwa raisi wa nchi.
Gone too soon!
Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe maana wakati Tz tupo hoi walitusaidia?Hiyo yote ni kazi ya Magufuli na fiscal discipline tulioifwata kwa miaka 5 na ndio maana leo hii Kenya wanakuja kuomba msaada Tanzania lkn after 5 years from now itakuwa kinyume chake.
Tanzania haijawahi kuizidi Kenya kwa kiuchumi tangia Uhuru na wala Kenya haijawaji kuitaji msaada wa Kiuchumi kutoka Tanzania popote pale kabla ya Magufuli kuwa raisi wa nchi.
Gone too soon!
Sio kweli; wakati wa Nyerere miaka ya 60's to 70's mwanzoni na brief wakati wa Mkapa to be precisely kati ya 1999-2004 tuliwazidi Kenya na hata Ethiopia kwa GDP. Hata ukigoogle tu utaona.
Wakati wa Magufuli ndipo Kenya walitupiga gap kubwa sana la GDP kuliko wakati wowote katika historia ya hizi nchi mbili. Hao Kenya wakati wa Nyerere kuna kipindi hata per capita tuliwapita kabla siasa za ujamaa hazijashika hatamu.
Namekuwekea hii clip ya kuonesha gdp changes ya baadhi nchi za EA na jirani zetu uone mwenyewe. (Kuanzia 1992 mpaka itavyokuwa 2025)
View attachment 2536102
Bank gani hiyo? Tawi la wapi? Au mkoa...!Tanzania nayo haina reserve zakutosha ukienda bank unataka dollar 10000 hawakupi