Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
1: Kuruhusu mgeni alale na mtoto wako mdogo chumba au kitanda kimoja
2: Kuwabania vikali mabinti katika mikusanyiko ya kila siku ya maisha, hii imetengeneza vijana wengi machapati mikoa ya pwani
3: Ubinafsi na ukoloni wa baba katika uendeshaji na ushirikishaji wa mali zake
4: Kuwachezea vigoma mabinti katika umri mdogo, badala ya kufunzwa anaendwa kufundwa kuwa mtaalamu wa ngono na kupeana kwa yoyote.
5: Mama au baba kupigwa au kupigana mbele za watoto, aisee hii kitu inaathiri sana watoto kisaikolojia katika umri mdogo na kwa baadae
Ongezea nyingine...