Baadhi ya mambo ambayo tulifanya toka zamani ila kiuhalisia Kama jamii tulifeli pakubwa mnoo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
1: Kuruhusu mgeni alale na mtoto wako mdogo chumba au kitanda kimoja

2: Kuwabania vikali mabinti katika mikusanyiko ya kila siku ya maisha, hii imetengeneza vijana wengi machapati mikoa ya pwani

3: Ubinafsi na ukoloni wa baba katika uendeshaji na ushirikishaji wa mali zake

4: Kuwachezea vigoma mabinti katika umri mdogo, badala ya kufunzwa anaendwa kufundwa kuwa mtaalamu wa ngono na kupeana kwa yoyote.

5: Mama au baba kupigwa au kupigana mbele za watoto, aisee hii kitu inaathiri sana watoto kisaikolojia katika umri mdogo na kwa baadae

Ongezea nyingine...
 
Mama au baba kupigwa mbele za watoto, aisee hii kitu inaathiri sana watoto kisaikolojia katika umri mdogo na kwa baadae

Hii wazazi wanapigwa na nani?
 
#4 Jana tu nimeshuhudia hii kitu Tena ,Dar
 
Mengi uliyoyataja hpa Uislamu umeshafundisha muda mrefu sanaaa
 
Chai
 
Kuoa binti wa miaka tisa ni kosa ambalo mtume wetu alifanya inatakiwa lilaaniwe vikali na waislamu wote.
Na kufira katoto cha kiume kichakani alfajiri ni kosa lililofanya yule anayeabudiwa akamatwe na kijana akimbie uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…