Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
mzee ruksa hiyo.
Nilisikia hivyo maana kipindi hicho nakaribia la kwanza, ni muda mrefu sana mpaka sasa nimekuwa babu.Mzee ruksa hiyo.
Ni moja ya move za mwisho mwisho za mzee ruksa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 1995
TRA imeanzishwa mwezi wa nane mwaka 1995, Mkapa alichaguliwa kuingia madarakani mwezi wa kumi na moja mwaka huo
Nilisikia hivyo maana kipindi hicho nakaribia la kwanza, ni muda mrefu sn mpk sasa nimekuwa babu
Kombora la taifa nakubaliana na wewe, tatizo tunadanganywa na sisi siyo watafiti tuna kubali, binafsi nifundishwa chuo kwenye tax kuwa TRA ilianzishwa awamu ya 3, 100% nilikuwa naamini hivyo. Asante sn mkuuSiyo wewe tu, wengi wanaaminishwa kuwa TRA aliianzisha BWM lakini ukweli ni kuwa aliianzisha AHM. Unaweza kucheki hata kwenye website ya TRA kuhusu lini ilianzishwa.
Mkapa alifanya reforms ndani ya TRA na siyo kuianzisha...kuna watu waliliwa vichwa pale haijawahi kutokea...walipelekewa wachunguzi pale kilichotokea kilikuwa ni kilio Cha kufa mtu..Siyo wewe tu , wengi wanaaminishwa kuwa TRA aliianzisha BWM lakini ukweli ni kuwa aliianzisha AHM
Unaweza kucheki hata kwenye website ya TRA kuhusu lini ilianzishwa
Sidhani,nakumbuka mwaka 1993,nikiwa obay line polisi,,nikiwasikia maafande wakipiga story jinsi afande mmoja aliwekewa mtego wa kukamatwa rushwa,,akawaweka maofisa wa PCB on gunpoint,kabla hajadandia taxi na kukimbia,Kabla ya TAKURU(PCB) ile ya Jenerali Kamazima mapambano ya Rushwa yalikua yanaongozwa na Kikosi Cha Kupambana na Rushwa(Task Force) iliyokua inahusisha Polisi na UWT
Ndio maana mpaka leo TAKUKURU hawana chuo bado mafunzo yao mengi wanachukuliaga kule kwa Makhirikhiri
Kweli wakati ukuta, tumetoka mbali sana
Sidhani,nakumbuka mwaka 1993,nikiwa obay line polisi,,nikiwasikia maafande wakipiga story jinsi afande mmoja aliwekewa mtego wa kukamatwa rushwa,,akawaweka maofisa wa PCB on gunpoint,kabla hajadandia taxi na kukimbia,
mzee ruksa hiyo.
Ni moja ya move za mwisho mwisho za mzee ruksa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 1995
TRA imeanzishwa mwezi wa nane mwaka 1995, Mkapa alichaguliwa kuingia madarakani mwezi wa kumi na moja mwaka huo