Baadhi ya mandhari ya hotel ya Bwana Mwamposa

Baadhi ya mandhari ya hotel ya Bwana Mwamposa

Nilitaka nishangae hoteli ya mwampopo ikose punda wa bethlehem
 
EvilSpirit
Mkuu ni huyu huyu wa kawe pale au unazungumzika mtu anatumia jina la ubin mwamposa??
Hebu leta document na picha za ushahidi tuthibitishe kama sio chai yenye tangawizi nyingi hii
Mkuu kwani umenunua mafuta kwake mara ngapi?
 
Naijua hii na toka inaanza wazo la kwanza ilikuwa garden ila badae akahamisha watu na kuongezea hoteli na eneo linigne bado hajaanza kulijenga japo Tayari liko ndani ya wigo
 
Hongera sana baba Mwamposa, usiwe kama Watumishi wanaoamini katika dhiki. Eti ukiwa Mtumishi wa Mungu basi wewe ndo wa kutembea na miguu, kuvaa suti kuukuu na kutembelea viatu vimeyumba soli.
 
Back
Top Bottom