Baadhi ya maneno ambayo hayapaswi kutumika kwenye mawasiliano ya wanaume kwa mwanaume

Baadhi ya maneno ambayo hayapaswi kutumika kwenye mawasiliano ya wanaume kwa mwanaume

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaam Wakuu,

Natumai mnaendelea vyema.

Katika kuendelea kujifunza lugha na namna bora ya mawasiliano leo nimeona nilete mtazamo wangu na nisikie kutoka kwenu pia.

Matumizi ya lugha yoyote yanapaswa kujingatia muktadha na wahusika unaozungumza nao. Katika muktadha wa mazungumzo ya wanaume wawili kunapaswa kuwe na uzingatiavu wa uteuzi wa maneno ili kuepusha taharuki.

Kuna baadhi ya maneno au sentensi haupaswi kuzatumia unapoongea na mwanaume mwenzako, ana kwa ana au kwa simu. Baadhi ya maneno hayo ni kama:

  • Mine/ my
  • Nambie Wangu
  • Shoga yangu
  • Dear (hili halipaswi kusimama peke yake)
  • Shosti
  • Nipe ubuyu

Haya ni baadhi ya machache niliyoyakumbuka kwa haraka, karibu kuongeza mengine
 
Ahahahahah..! hapa itabidi nirudi kupata miongozo.!
 
Back
Top Bottom