Watu humu wanawaponda sana maceleb wa bongo. .lakini mpoki kufikisha ujumbe kwa njia ya utani imekuwa kero kwao
..
KABISAAAAAAA...
Hahahah siku zote huwezi fanya kitu watu wote wakakubali
Siku zote ukiwa mkweli utaitwa mnafiki kwani hayo aliyoyasema ni uongo au watu mmezoea kuwasifia uongo huko insta huku nyuma mnawasengenya.
Vanessa si mpare huyu....kiingereza kingiii
Parii angeongea French..i grâce TanzaniensKaishi sana Pariii
Unakaa na mzungu miaka mitatu hajakupeleka ulaya.
Mzungu gani anajua bei ya bajaji na anaenda sokoni halafu anakaa Mwananyamala.
Halafu Isha Mashauzi alivyopanda kupokea tuzo yake wakati wanashuka akawapa kitu "kesho asubuhi hawa wa wadada ukikutana nao lazima utawapa shikamoo"
Mpoki noma sana
Hivi mwanagenzi are you real ama unacheza makidamakida? Uhusiano wa JK na jezi na issue iliyoko hapa ni upi ?
Mi napita !
OMG I like your name !