Baadhi ya maneno ya mpoki KTMA yaliyozua gumzo mitaani

Baadhi ya maneno ya mpoki KTMA yaliyozua gumzo mitaani

Akampiga dongo Vincent Kigosi a.k.a Ray kuwa "Halafu wewe Ray kila siku unazidi kuwa mweupe"
Alimaanisha kuwa anazidi kujichubua!!
 
Nyani haoni kindulee

KABISAAAAAAA...
th_baboon_200.jpg
 
Unakaa na mzungu miaka mitatu hajakupeleka ulaya.
Mzungu gani anajua bei ya bajaji na anaenda sokoni halafu anakaa Mwananyamala.
Halafu Isha Mashauzi alivyopanda kupokea tuzo yake wakati wanashuka akawapa kitu "kesho asubuhi hawa wa wadada ukikutana nao lazima utawapa shikamoo"
Mpoki noma sana

Aaaa aaaah aaah Jamaa yupo vizur sana
 
Hivi mwanagenzi are you real ama unacheza makidamakida? Uhusiano wa JK na jezi na issue iliyoko hapa ni upi ?

Hii niliipenda sana,ajirekebishe mtoto wa kiume yule...ah
 
si jadi yetu kuambiwa ukweli, kwa kuwa alikua anasema kwenye mizania ya utani ni vyema ku-maintain la siovyo siku nyingine unajikuta unaharibu sherehe ya watu
 
Back
Top Bottom