Ujue unazungumza na watu wazima humu kwahiyo usifikiri kwamba sisi ni watoto unaoweza kuwadanganya kirahisi na kadri utakavyowakingia kifua ndio utawaharibia zaidi kwa sababu hao madogo wamehitimu bachelor degree mwaka jana na taarifa zao zipoKumbuka kuhusu five six kwa mwaka mmoja
Five six mwaka mmoja mkuu
Kama wamesoma QT registration zao zingeanza na subsidiary (P) sio (S). Usidanganye watu mkuuFive six mwaka mmoja mkuu
Hii wizara ndiyo angepewa UMMY MWALIMUPamoja na kujitutumua ila naona hii wizara ni kubwa kuliko waziri mwenye dhamana nayo,time will tell...
Mdau mmoja katoboa siri hapo juu kuwa hao walimaliza mwaka jana 2020 walipoona vigezo ni waliomaliza 2019 wakaomba hivyohivyo kwa kuandika 2019Mkaruka nadhani bado hujaelewa hoja yangu ni hivi kwa mwanafunzi aliyemaliza form four 2014 kama alienda direct ilibidi digrii yake ya kwanza ya ualimu aipate 2020 lakini wao inaonyesha wameipata 2019. Je ni chuo gani kinachotoa shahada ya ualimu kwa miaka miwili???
Yeye naona amekariri hajui kwamba kuna wanao risit na wale wanaofanya QTMnapotoa kasoro mkumbuke mambo mawili
Moja Kuna mtihani unaitwa qt five six kwa mwaka mmoja
Pili kuna mtu kupata zero na akareset mtihani
Mimi naona ha jalifikilia hilo
Duh sio tu anajioshea kwa mamaa wife wewe umemuamini kweliWaziri hana jipya, bila kuhonga hapa hakuna kupata kazi. Nawaonea huruma wadogo zetu mtaani.
Afu mtu anajitapa et mimi nisingetoa pesa mke wangu asingepata kazi.
Yuko sahihi ila wewe ndiye umekariri mkuu. Wanao reseat na QT registration number zao zinaanza na herufi(P) kuashiria private candidate kwa maana hiyo hao walimu wamesoma katika mfumo wa direct (formal education) ndio maana registration number zao zimeanza na herufi S.Yeye naona amekariri hajui kwamba kuna wanao risit na wale wanaofanya QT
Muda mwingine unaweza kumlaumu waziri bila kujua ugumu na uzito wa wizara anayoiongoza. Mimi nilikuwa nashauri ili kurahisisha utendaji kazi hii wizara ingepunguziwa mzigo mfano masuala ya elimu yangerudishwa kwenye wizara ya elimu na Tamisemi ikabaki chini ya ofisi ya wizara mkuu kama zamaniPamoja na kujitutumua ila naona hii wizara ni kubwa kuliko waziri mwenye dhamana nayo,time will tell...
Nafasi kwa mkuregenzi kujitengenezea ulaji wa mshahara wa watumishi hewaMwingine huyoo!
View attachment 1834491