Mo ataishia kwenda VaticanMchezaji wa timu ya taifa ya Misri, Mo Salah amejiwa juu na Waislamu baada ya kuwatakia mashabiki zake heri ya sikukuu ya Christmas. Watu wametuma maoni ya kukebei na kusema kuwa hatakiwi kuwatakia Watu heri ya Christmas kwa sababu yeye ni Muislamu.
View: https://www.instagram.com/p/C1RmKp2tWuY/?igsh=MXZqb202a3g5cmhrcg==
Huo ungwana wa wa Salah ww unao kwa watu wa dini nyingine?Mo ni muungwana sana sana,kila mwaka huwa anatuma ujumbe wa X mass,kila mwaka anadhihakiwa na kila mwaka anajadiliwa Jf kwa hili. Na sio kwamba hutuma ujumbe tu wa X mass,husherehekea X mass yeye na familia yake. Mwaka huu katumia ujumbe wa X mass kukemea vita vya Palestine na Israeli. Usipomwelewa Mo salah katika hili,hujayaelewa maisha bado.
Hizi content ndizo zina interaction kubwa, siwezi kuweka post isiyokuwa na interaction....Ww jamaa kichwa chako kimejaa udini kila saa kutaka watu wajadili udini tu.
Yaani ww ikipita siku bila kuongelea mambo ya dini hujisikii kama unaishi.
Ntawaachia hao watu wa dini nyingine waamue kama mimi ni muungwana kwao ama la. Sina la kusema.Huo ungwana wa wa Salah ww unao kwa watu wa dini nyingine?
Basi jadili dini inayo kuhusu acha kuwashwa washwa na dini zisizo kuhusu.Hizi content ndizo zina interaction kubwa, siwezi kuweka post isiyokuwa na interaction....
Nilishaposti Content kibao hazikupata interaction, nilivyopost ya mambo ya Dini ikapata interaction kubwa basi nikaamua kukaa upande huu... Pia fahamu watu wote hatuwezi kufanana, mimi sio mwanasiasa nipost mambo ya siasa, ukitaka post za aina fulani nenda kwenye majukwaa husika, usilazimishe tufanane. Mimi nimechagua upande huu