Baadhi ya mashabiki wamjia juu Mo Salah baada ya kuwatakia heri ya Christmas mashabiki zake Instagram

Baadhi ya mashabiki wamjia juu Mo Salah baada ya kuwatakia heri ya Christmas mashabiki zake Instagram

Basi jadili dini inayo kuhusu acha kuwashwa washwa na dini zisizo kuhusu.
Ww mjadili papa kuhalalisha ushoga , jadili manabii wenu huko,jadilini wingi wa sadaka kwenye makanisa yenu, masuala ya kuanzisha mada za kudisi dini za watu wengine acha.
Kila siku uislam kuujadili waislam utadhani walisha kuharibia kitu chako acha udini.
Mimi najadili Christmas hapa, au Christmas nayo ni yenu

Kwa nini mtukane mtu kisa kuwatakia wakristo sikukuu njema
 
Ila wenye akili ni wale walio pewa amri ya kuolewa na papa.
Ukizungumzia ushoga, ushoga pia kwa waislamu upo, masheikh kibao tu wanalawiti watoto madrasa... Urabuni ndio michezo yao, huko Zanzibar ndio usiseme, mpaka yule askari wa Zanzibar akajirekodi anafilwa, na ni muislamu...

Papa ni kama Mufti tu... yeye sio Kiongozi wa wakristo, yeye ni kiongozi wa wakatoliki. Sio kila mkristo yuko chini ya Papa
 
Mimi najadili Christmas hapa, au Christmas nayo ni yenu

Kwa nini mtukane mtu kisa kuwatakia wakristo sikukuu njema
Ww kama hutaki Salah asisemwe kwa sababu ya kuwatakia heri ya krisimas,ww mbona kila saa kuwasema na kuwakejeli waisilam kisa dini yao wanayo iamini ww inakuhusu nn?

Kila kutwa kuwashwa washwa na uislam utadhani bila kujadili na kufanya kejeli dhidi ya waisilamu huwezi kuishi.

Huyo Salah ni muislam na kwa mujibu wa mafundisho ya uislam ni razima na wajibu kwa muislam yeyote kumkumbusha muislam mwenzake pale anapo kuwa anapotoka na kujiingiza katika mambo ambayo ni kinyume na dini hiyo.

Hao wanao mkosoa Mo Salah ni wanatilimiza wajibu wao wa kidini wala hawana kosa lolote.

Nyinyi mbona mmemuijia juu papa kuhusu suala la ushoga kwa kudai ni kinyume na dini yenu , sasa mbona iwe kosa kwa waisilam kumuijia Mo juu kwa kufanya kinyume na dini yao?

Acha udini maana hakuna unacho faidika nacho.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukizungumzia ushoga, ushoga pia kwa waislamu upo, masheikh kibao tu wanalawiti watoto madrasa... Urabuni ndio michezo yao, huko Zanzibar ndio usiseme, mpaka yule askari wa Zanzibar akajirekodi anafilwa, na ni muislamu...

Papa ni kama Mufti tu... yeye sio Kiongozi wa wakristo, yeye ni kiongozi wa wakatoliki. Sio kila mkristo yuko chini ya Papa
Kwa hiyo kisa wezi na majambazi wapo wamejaa mitaani basi serikali iuhalalishe rasimi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom