Baadhi ya Mashirika Umma yanayojiendesha kibiashara na yalitakiwa kujitegemea

Baadhi ya Mashirika Umma yanayojiendesha kibiashara na yalitakiwa kujitegemea

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
BUNGE limeazimia serikali kuondoa ruzuku kwa mashirika yanayojiendesha kibiashara ili yaweze kujiendesha kibiashara, kukidhi bajeti zao na kutoa gawio kwa serikali.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa akiwasilisha taarifa ya mwaka ya shughuli za kamati hiyo.

“Baadhi ya Mashirika Umma yanayojiendesha kibiashara na yalitakiwa kujitegemea bado yanapata ruzuku kutoka Serikali Kuu,”amesema.
 
Hii nchi ishakua na mambo ya kinanii sana yani...☹️
 
Back
Top Bottom