Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Mbona Feisal hajatajwa? Au yeye sio nyota?Wachezaji hao ni Fiston Mayele, Aziz KI, Kibwana Shomari, Khalid Aucho, Yannick Bangala ambao wamepewa mapumziko. Meneja wa Yanga, Walter Harrison amesema kuwa sababu ya kuwatumia vijana kwenye Kombe la Mapinduzi Cup ni kuwapa uzoefu.
Hayo mashindano ni bonanza afadhali wapumzishe wachezaji ningefurahi Simba wangefata mfano wao
Wanataka wakilikosa kombe wapate sababu.#MICHEZO Nyota watano wa klabu @yangasc hawatakuwa sehemu ya kikosi ambacho kimeondoka leo chini ya kocha msaidizi Cedric Kaze kuelekea visiwani Zanzibar kushiriki Kombe la Mapinduzi lililoanza Januari Mosi.
Wachezaji hao ni Fiston Mayele, Aziz KI, Kibwana Shomari, Khalid Aucho, Yannick Bangala ambao wamepewa mapumziko. Meneja wa Yanga, Walter Harrison amesema kuwa sababu ya kuwatumia vijana kwenye Kombe la Mapinduzi Cup ni kuwapa uzoefu.
#Mapinduzi
Tuliwahi kumpoteza Nyoni Kwa mashindano kama hata kipindi kile tunaenda kushiriki makundi AfricaSimba hainaga shughuli ndogo.
Na ukibeba hili kombe unakuwa umejipa mkosi, huchukui kombe la ligi au la Azam FALabda Simba wanaogopa wasije wakakosa kabisa kuchukua kombe lolote msimu mzima.
best question of the threadWametumia usafiri gani?
Watakuja na ndege ya asubuhi wakipigwa na Singida#MICHEZO Nyota watano wa klabu @yangasc hawatakuwa sehemu ya kikosi ambacho kimeondoka leo chini ya kocha msaidizi Cedric Kaze kuelekea visiwani Zanzibar kushiriki Kombe la Mapinduzi lililoanza Januari Mosi.
Wachezaji hao ni Fiston Mayele, Aziz KI, Kibwana Shomari, Khalid Aucho, Yannick Bangala ambao wamepewa mapumziko. Meneja wa Yanga, Walter Harrison amesema kuwa sababu ya kuwatumia vijana kwenye Kombe la Mapinduzi Cup ni kuwapa uzoefu.
#Mapinduzi
Tuna clement mzize..Ni maamuzi mazuri ila wasiifanye kama mwaka jana, wakiona kuna mechi dhidi ya Simba au Azam. Wanaanza kuwasaka mitaani kuwasafirisha wachezaji waliokuwa wanakula bata mitaani hata fitness hawana. Watumie hao hao hata wakifungwa magoli saba sawa tu.