Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
#MICHEZO Nyota watano wa klabu @yangasc hawatakuwa sehemu ya kikosi ambacho kimeondoka leo chini ya kocha msaidizi Cedric Kaze kuelekea visiwani Zanzibar kushiriki Kombe la Mapinduzi lililoanza Januari Mosi.
Wachezaji hao ni Fiston Mayele, Aziz KI, Kibwana Shomari, Khalid Aucho, Yannick Bangala ambao wamepewa mapumziko. Meneja wa Yanga, Walter Harrison amesema kuwa sababu ya kuwatumia vijana kwenye Kombe la Mapinduzi Cup ni kuwapa uzoefu.
#Mapinduzi