Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekua nikifuatilia baadhi ya watu wenye pesa duniani na waliokufa wakiwa matajiri wakubwa hawakuwahi kufika vyuo vikuu na wengine waliacha.
Bill Gates mmoja wa watu matajiri mwanzilish wa kampuni ya microsoft. Hakuwah kusoma chuo kikuu na alikua akifel but leo anasema wanaofaulu kwa ufaulu wa juu vyuo mbalimbali ndo wadfanyakaz katika kampuni yake. Je unaitaj kuwa na elimu ya chuo kikuu kuanzisha kampuni kama billgates? Unaitaj kuwa na elim ili kuwa na pesa kama billgates?.
Steve jobs mwanzilish wa kampuni ta apple ambayo kwasasa ndo kampuni kubwa yenye bidhaa za bei gali kama ipad, iphone, nk. Steve alisoma chuo kwa miez 6 akaacha coz hakuona kama elimu ya chuo ingemsaidia kufikia mlengo yake miaka michache badae akaja na kampuni yake ya apple na komyuta ya bei gal zaid macbook yenye oparating system tofaut kabisa na windows. Leo wasomi wangapi wameajiriwa ktk kampuni ya mtu ambaye aliacha chuo na kuingia mtaani?
Henry Ford mtengenezaji wa magar ya Ford hajawai kufika chuo.
Marc zuckerberg mmiliki wa facebook hajawai kufika chuo kikuu but he is the one of the multimillionaire.
Joam mwanzilish wa whatsapp hajawai kufika chuo kikuu bt now he is multimillionaire.
Na wengineo weng mnaowafaham. Mtazamo wangu ni kwamba haiitaj kuwa na degree kufanikiwa ila utakachokifanya ukiwa mtaani ndo kitakufanya ufanikiwe au la. Izi sio enz za kuwadanganya watoto nenda shule soma kwa bidii upate degree utapata kaz na kuish maisha mazur. Ukimwambia mtoto ivyo unakosea. Ni bora kumuendeleza mtu katika kitu anachoweza kufanya.
Leo hii mtu wa mtaani yupo garage anaweza kutengeneza magar aina zote na ana uwezo mkubwa kifedha kuliko mtu aliyemaliza degree kwenye fani ya mechanics.
Tubadili mfumo wa kufikir kuhusu elimu na pesa.
miimi namuunga mkono mtoa maada,ala naoa alikuw alikuwa na maana nzuri tu. Kashindwa kuelezea kwa undani na kutoa analysis ya maadamkuu acha upotoshaji. Steve jobs aliacha chuo kwa sababu ya gharama kubwa za masomo lakini hata hivyo alibadili kozi na kuanza kusomea calligraphy pale pale chuoni japo kwa utaratibu usiokuwa formal na usipotoshe hostoria ya apple. Unamjua woz? Unajua role yake apple? Kama ulikuwa hujui huyo ndiye architect behind mac.
Hata bill gates inaonekana humjui vizuri nani aalikudanganya kuwa bill hakusoma? Bill alicha chuo kwa kuwa alipokuwa chuo aligundua kitu muhimu. He left university to pursue his dream. Hakuacha tu. Nakushauri pia usome family history ya akina gates ni akina nani.
Hata ford mwenyewe inaonekana humjui. Kama ulikuwa hujui ford aliajiliwa kwanza kama engineer kwenye kampuni ya edson illuminating company. Nakushauri hata akina mark jisomee mafanikio yaliwakuta wapi
usimwache elimu aende zake.
Ujinga jutokusoma mada na kuelewa. Sijasema watu wasiende shule kama ni darasani we mwanafunz usiyeelewa tipic. Nimejaribu kulinganisha uhusiano wa elimu na pesa watu waache kufikiri kuwa jusoma tu ndo njia pekee ya jupata pesa
Acha kuchekesha wewe, nani kakwambia sijaelewa mada?, hebu fikiria uvumbuzi wowote umefanyika pasipo elimu. una watu wanaajirrika kupitia uvumbuzi wa kielmu uliofanwa na wengine, kwa mfano, Faraday na wenzake walisaidia katika kukuza dhana ya umeme, lakini leo hii makampuni kama richmond yananufaika na ugunduzi huo. Pia akina Mac Zuckberg wamenufaika kikipato kupitia ugunduzi wa programing languages na codes zilizofanywa na watu wengine huko nyuma. abda inabidi utofautishe hili, kwamba si kila tajiri lazma awe amesoma, lakini uvumbuzi wa waliosoma huwafanya wengine hata wasio na elimu kutajirika. Lakini pia, hao wanaotajirika kupitia ugunduzi wa wengine, ni lazima wawe wamesoma japo idogo katika jambo huska, a au watumie wasomi walioelimishwa katika jamb husika. Kumbuka pia, hakuna mtu tajiri anayefikia hatua kubwa ya utajiri pasipo kushirikiana na wengine(i.e. aajiri wasomi hata kama hajasoma). Kwa hiyo, kusoma na utajiri vinategemeana, hakuna kisichomtegemea mwenzake, kajipange na mawazo yako ya ki FLP, GNL n.k, usikurupuke kutuandikia hapa kila unacholishwa huko kwenye vimikutano uchwara.
Bill Gates mmoja wa watu matajiri mwanzilish wa kampuni ya microsoft. Hakuwah kusoma chuo kikuu na alikua akifel but leo anasema wanaofaulu kwa ufaulu wa juu vyuo mbalimbali ndo wadfanyakaz katika kampuni yake. Je unaitaj kuwa na elimu ya chuo kikuu kuanzisha kampuni kama billgates? Unaitaj kuwa na elim ili kuwa na pesa kama billgates?.
Nimekua nikifuatilia baadhi ya watu wenye pesa duniani na waliokufa wakiwa matajiri wakubwa hawakuwahi kufika vyuo vikuu na wengine waliacha.
Bill Gates mmoja wa watu matajiri mwanzilish wa kampuni ya microsoft. Hakuwah kusoma chuo kikuu na alikua akifel but leo anasema wanaofaulu kwa ufaulu wa juu vyuo mbalimbali ndo wadfanyakaz katika kampuni yake. Je unaitaj kuwa na elimu ya chuo kikuu kuanzisha kampuni kama billgates? Unaitaj kuwa na elim ili kuwa na pesa kama billgates?.
Steve jobs mwanzilish wa kampuni ta apple ambayo kwasasa ndo kampuni kubwa yenye bidhaa za bei gali kama ipad, iphone, nk. Steve alisoma chuo kwa miez 6 akaacha coz hakuona kama elimu ya chuo ingemsaidia kufikia mlengo yake miaka michache badae akaja na kampuni yake ya apple na komyuta ya bei gal zaid macbook yenye oparating system tofaut kabisa na windows. Leo wasomi wangapi wameajiriwa ktk kampuni ya mtu ambaye aliacha chuo na kuingia mtaani?
Henry Ford mtengenezaji wa magar ya Ford hajawai kufika chuo.
Marc zuckerberg mmiliki wa facebook hajawai kufika chuo kikuu but he is the one of the multimillionaire.
Joam mwanzilish wa whatsapp hajawai kufika chuo kikuu bt now he is multimillionaire.
Na wengineo weng mnaowafaham. Mtazamo wangu ni kwamba haiitaj kuwa na degree kufanikiwa ila utakachokifanya ukiwa mtaani ndo kitakufanya ufanikiwe au la. Izi sio enz za kuwadanganya watoto nenda shule soma kwa bidii upate degree utapata kaz na kuish maisha mazur. Ukimwambia mtoto ivyo unakosea. Ni bora kumuendeleza mtu katika kitu anachoweza kufanya.
Leo hii mtu wa mtaani yupo garage anaweza kutengeneza magar aina zote na ana uwezo mkubwa kifedha kuliko mtu aliyemaliza degree kwenye fani ya mechanics.
Tubadili mfumo wa kufikir kuhusu elimu na pesa.
kusoma haina uhusiano na utajir