Baadhi ya matajiri wakubwa sio wasomi

Maneno ya kujifariji kwa watu wasiokwenda shule
 
Ila matajiri wa Kitanzania wasio wasomi au walioachia darasa la pili hali ni tofauti. Pesa zaidi oa zaidi au vimada zaidi. Matokeo yake business is one man show na akifa ndiyo basi. Ni nani anaikumbuka Makondeko kwa walio DSM? Vatican City Hotel Sinza? Nanyi mtakuwa na mifano mingine hai tu. Hii ni tofauti na wahindi na waarabu wa Tz. Biashara kubwa zao ni inherited na zinakuwa siku hadi siku.
 
Hao wote ni college dropout..sio kwamba hawakufka shule kabisa.jaribu hapa bongo uone.
 

Na wewe usi some una onekana utakua tajiri mkubwa sana
 
Labda useme hawakumaliza.
Ni kweli hao ndiyo maana walifanikiwa kwa sababu walipata walichokuafata chuoni mapema kabla ya muda kuisha kwa hiyo wakaona ni vyema kuvifanyia kazi.
Mfano:
Mark Zuckerberg ---> Facebook, CEO
William Gates III ----> Microsoft, Former CEO
Steve Jobs ----> Apple, Inc, Former CEO
Matt Mullenweg ---> Automatic, Founder (WordPress Founder)
na wengineo wengi
 
miimi namuunga mkono mtoa maada,ala naoa alikuw alikuwa na maana nzuri tu. Kashindwa kuelezea kwa undani na kutoa analysis ya maada
kwa kifupi ,all college droup outs kama kina bill gates,marc,henry ford na wengne kama raisi wa sasa wa south africa ambae hakupitia haata chuo kikuu,hao ni watu ambao wanaishi kwa dreams na determination ..hawakwenda shule kusomaa makaratasi na kukariri,bali walikwend kuongeza maarifa na kujifunza jinso ya kufikiri.
Ukiangalia marc,bill gates walikuwa na project zao tangu wako junior school,kwahiyo walikuwa wanasoma sana mambo mengi kuhusu field zao ,automatically wakawa na chakufanya
bill gates alikuwa anakesha darasani ,alikuwa mda wote ni kujifunza menyewe kuhusu programing ,so ikampelekea kufaulu sana na kwenda harvard,harvard hawaingii wajinga.
Pia kumbuka elimu sio mpaka iwe formal.wengi waliofanikiwa duniani ,ni kwaajili ya informal education especially strategic traditional business education and market intuiition.
Ninacholkazia sana,tusikae kusoma sana madaftari mashuleni bila kupata elimu ya practically ya maisha mfano ujasiliamali,na ujuzi mwingine kutoka kwa wazazi kama n wafanya biashara
tatizo kubwa ni wimbi kubwa la watu tunaosoma ili tukimaliza tukaajiliwe. Ni bora kufikiria kujiajili,ili ukiajiriwa ni kwa mda tu.anza kufocuss baadae yako.na pia humaliza shule bila kujua lolote kuhusiana na biashar au shuguli ya kufanya.
Pia always elimu ya kidato cha nne na sita inamsaidia kabisa mtu kuwa bilionea kama ataipitia vizuri na kuelewa kwa malengo,elimu sio cheti ni ujuzi.
Mwisho vision and determination ndio kitu kinachowafanya watu hata wakiwa na elimu ya college tu wanagundua.
Ingekuwa elimu ndio mafanikio tu,basi maprofesa wote wangegundua,lakini la hasha.
 
Ujinga jutokusoma mada na kuelewa. Sijasema watu wasiende shule kama ni darasani we mwanafunz usiyeelewa tipic. Nimejaribu kulinganisha uhusiano wa elimu na pesa watu waache kufikiri kuwa jusoma tu ndo njia pekee ya jupata pesa

Acha kuchekesha wewe, nani kakwambia sijaelewa mada?, hebu fikiria uvumbuzi wowote umefanyika pasipo elimu. una watu wanaajirrika kupitia uvumbuzi wa kielmu uliofanwa na wengine, kwa mfano, Faraday na wenzake walisaidia katika kukuza dhana ya umeme, lakini leo hii makampuni kama richmond yananufaika na ugunduzi huo. Pia akina Mac Zuckberg wamenufaika kikipato kupitia ugunduzi wa programing languages na codes zilizofanywa na watu wengine huko nyuma. abda inabidi utofautishe hili, kwamba si kila tajiri lazma awe amesoma, lakini uvumbuzi wa waliosoma huwafanya wengine hata wasio na elimu kutajirika. Lakini pia, hao wanaotajirika kupitia ugunduzi wa wengine, ni lazima wawe wamesoma japo idogo katika jambo huska, a au watumie wasomi walioelimishwa katika jamb husika. Kumbuka pia, hakuna mtu tajiri anayefikia hatua kubwa ya utajiri pasipo kushirikiana na wengine(i.e. aajiri wasomi hata kama hajasoma). Kwa hiyo, kusoma na utajiri vinategemeana, hakuna kisichomtegemea mwenzake, kajipange na mawazo yako ya ki FLP, GNL n.k, usikurupuke kutuandikia hapa kila unacholishwa huko kwenye vimikutano uchwara.
 

Wengine wanatumia vichwa vyao kufikiri na kuchangia wewe kicha chako unafugia nywele unaichosha shingo. Mikutano gani unayoizungumzia? Uliingizwa king ukaliwa ela ya kiingilio game ikakushinda ndo maana inakuuma. Eka waz mikitano unayozungumzi ya mwakasege au lusekelo?
 

Ama kweli uelewa wa Watanzania ni mdogo sana.

Bill Gates hakuwahi kusoma chuo kikuu? Na alikuwa akifeli?

Really? Mweeeh!

Cc: Preta
 
Last edited by a moderator:

Aisee! naona rasimu ya katiba ya 6 inaanza kuleta shida, kwamba yatosha tuu kujua kuandika na kusoma ili uwe kama akina Mengi. Aliwahi sema Nyerere hakuna kitu kibaya kama kufilisika kiakili au Ulofa!!
 
Kusoma sana si kuwa na pesa. Kupata pesa na kufanikiwa ni kitu kingine kabisa. Professors wengi wako juu ya mawe na elimu zao. Futeni ujinga madarasani lakini umaskini uko palepale
 
Ama kweli uelewa wa Watanzania ni mdogo sana.

Bill Gates hakuwahi kusoma chuo kikuu? Na alikuwa akifeli?

Really? Mweeeh!

Cc: Preta

Ayiiiiii.......mi si nshaelewa.......aauuuu......
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…