JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Nimelazimika kuleta hii thread baada yakukutana na matatizo mawili yanayofanana ndani ya siku 5 katika magari mawili tofauti.
Tar 21 mwezi huu kuna jamaa alinicheck, nimeshamfanyia kazi kabla, ana toyota IST ina 1490Cc.
Alinicheck akaniambia gari yake akisimama kwenye foleni inamisi halafu kuna muda inazima kabisa, Ila akitembea hamna shida yoyote. Pia akadai kuna inawasha Check engine.
Tar 22/5 akaja ofisini, Nikaweka mashine ya Diagnosis, Straight ikasoma code ya P0172-System is Too Rich. Kwa lugha rahisi mchanganyiko wa hewa na mafuta una hewa kidogo kuliko kawaida au una mafuta mengi kuliko kawaida.
Basi kuna Procedures nikazifanya pale ikaonekana kuna Pipe inaleak hewa.
Unaweza kuangalia video hii, Ina dakika 2 tu ila nimeelezea kila kitu nilichokifanya, japo sauti iko chini, 👇
Sasa tena kanicheck jamaa mwingine na ishu hiyohiyo. . .
Hapa akagusia kwamba gari imetolewa masega, lakini nikamjibi kwa gari hiyo masega hayawezi kuathiri performance.
Baadae akanitumia hiyo code ambayo ni the same kama niliyopata kwa yule jamaa mwingine.
Mwisho nikamtumia hiyo video, ajaribu kukagua hizo pipe za hewa kwenye engine.
MWISHO,
Kama gari yako ina misi ikiwa sailensa(Idle), ila ukiendesha hamna misi, 99% hiyo leak ya hewa.
Hiyo P0172 ukiiserch mtandaoni utaletewa msururu wa sababu. Ila mara nyingi leak ya hewa ndio huwa sababu. Japo inaweza ikatokea nadra sana sababu zikawa zingine.
Huyo jamaa wa tar 22 nimempugia leo anasema gari iko fresh kabisa, japo tulutest siku ile na hakukua na shida yoyote.
Nyongeza
Mtatizo ya leak ni common sana kwenye gari nyingi, Na huwa ni nadra kuwasha check engine, Na ukiona limewasha check engine jua hali ishakuwa mbaya hasa kwa hii Mijapani.
Pia leakage za hewa zinaongeza sana ulaji wa mafuta kwenye gari.
************************************
Gari yako ina tatizo gani?
Karibu Ofisi ipo Sinza, Kijiweni, Dar.
Engines services, Engine diagnostics, GPS trackers n.k.
0621 221 606 au 0688 758 625.
Karibu sana.