sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kuna wale wanaume ambao wana maumbile madogo na kuhisi ndivyo walivyo lakini kiuhalisia hawakuumbwa hivyo.
1. Walioanza kupiga punyeto kabla au balehe inapoanza - kundi hili waliingilia process za uume kupata size kamili kipindi cha balehe.
2. Waliovaa chupi zilizokuwa zinabana - nao hawa utofauti sana na kundi la kwanza.
Ni kwamba makundi hayo uume wao umeingia ndani zaidi, mbaya zaidi kipindi cha balehe uume inabidi uachiwe wenyewe bila kuminywa ili upate saizi kamili, ukianza kuminywa minywa hauwezi kupata saizi kamili maana misuli inalegezwa.
Dawa ni uvumilivu wako, mwaka mzima ukae bila kupiga Punyeto uwe una sex tu na usiku usivae boxer wala chupi, vaa yale mabukta over size uume usikutane na kizuizi chochote