Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
1. Akiwa mpweke
Akiwa na kiu ya kuliwazwa kwenye upweke wake haangalii huyu ni mume wa mtu, mchumba wa mtu, mzazi wa mtu. Yeye anachotaka upweke wake uishe
2. Akiwa desparate (mwenye kiu ya kuolewa)
Mwanamke akiwa kwenye hali hii, basi mwanaume yoyote kwake ni potential husband, awe mume wa mtu au la, akifikia hapa hajali mambo ya kupima afya, mambo ya dini au imani, vigezo na masharti vyote vinafukiwa ardhini.
3. Akiwa na kiu ya mtoto
Hapa hajaliwi mtu inajaliwa mbegu tu. Kila akiona mwanaume anamwona kama baba mtoto wake, hapa haliangaliwi penzi tena bali mbegu za mtoto. Hapa hata kama ana imani ya kuhamisha milima atakuwa tayari kwenda kwa mganga pale anapoona maombi hayafanyikazi.
Ujumbe: Hali yako na mapito yako yasikufanye ushushe standards zako. Ndio maana taji hata sikumoja haitolewi mwanzoni bali mwishoni. Yeye avumiliaye atavikwa taji.
Mambo makubwa 3 yanayompelekea mwanamke kutojali chochote kwenye maamuzi timheaven