Baadhi ya mazingira ambayo yakimtokea mwanamke hatojali kitu chochote kwenye maamuzi yake

Baadhi ya mazingira ambayo yakimtokea mwanamke hatojali kitu chochote kwenye maamuzi yake

Kuna mmoja alizaa na mme wake watoto 2.mwisho wa siku wakaachana jamaa akabaki na watoto wote!mwanamke yule nikaanza kutembea nae kila nikimuuliza kuhusu kinga anayotumia anachekacheka tuuu.nikawa namzibua siku ya siku ananiambia ana kibendi nikashtuka nikaona msalaba huu.alichoniambia ni very simpo.oohhh nilikuwa nahitaji kuwa na mtoto wangu sasahivi hivyo wewe uamue kupita hivi au vipi?mi sikumjibu cha ajabu ye akanikatia mawasiliano kabisa hadi sasa hivi nadhani ina miez8 maana kuna rafki yake huwa ananitumia picha tu za huyo mwanamama
Duuh
 
Back
Top Bottom