Baadhi ya meli zimekataa kutia nanga Dar es Salaam port kwa msongamano. Zimeacha mizigo Mombasa port ili kufanyiwa transhipment

Sio uzembe bali bandari imezidiwa pia bado hakuna eneo la kutosha la kuweka mizigo yaani dry port
Huo ndio uzembe tunaongelea hapa. If you knew your capacity is overstretched then what is your government doing about it? Sisi tayari tushajenga port mpya kule Lamu just in case Mombasa izidiwe.

Kuhusu kukokosa eneo la kuweka mizigo hapo pia tulishajipanga kitambo coz we already have Naivasha dry port. So kubali kwamba hii yote ni uzembe on your part. Endeleeni kulala usingizi wa pono mkiamka mnasema tunawahujumu jinsi nilivyoona comment moja hapo juu
 
Next budget wametenga pesa za kujenga hiyo terminal
 
Kuna vifaa vya kushushia na kupakia TPA wananuna nadhani viko kwenye matengenezo ndio vinafanya labda upakuaji unachelewa.Maana berth 8,9,10,11 ziko upande wa TICTS na 0 mpaka 7 zipo TPA.Pia kuna ujenzi wa reli ya SGR kuingia bandarini unaendelea nadhani mwakani utakuwa unamalizika hivyo soon hizo shida zitakwisha.
 
M
Huo ndio uzembe tunaongelea hapa. If you knew your capacity is overstretched then what is your government doing about it? Sisi tayari tushajenga port mpya kule Lamu just in case Mombasa izidiwe.

Kuhusu kukokosa eneo la kuweka mizigo hapo pia tulishajipanga kitambo coz we already have Naivasha dry port. So kubali kwamba hii yote ni uzembe on your part. Endeleeni kulala usingizi wa pono mkiamka mnasema tunawahujumu jinsi nilivyoona comment moja hapo ju

Huo ndio uzembe tunaongelea hapa. If you knew your capacity is overstretched then what is your government doing about it? Sisi tayari tushajenga port mpya kule Lamu just in case Mombasa izidiwe.

Kuhusu kukokosa eneo la kuweka mizigo hapo pia tulishajipanga kitambo coz we already have Naivasha dry port. So kubali kwamba hii yote ni uzembe on your part. Endeleeni kulala usingizi wa pono mkiamka mnasema tunawahujumu jinsi nilivyoona comment moja hapo juu
Mzee mbona unatushambulia Dar port expansion ina package nyingi zinafanyika na zote zinafadhiliwa na world bank,sasa hv wako kwenye kuatanua mlango wa bahari na kuchimba sehemu ya kugeuzia meli.Kama unavyojua baada ya kumalizika gati la 0 la kushushia magari sasa hv Dar Port inapokea meli direct from Japan to TZ na magari mengi ni transit to Malawi,Zambia,Msumbiji,Rwanda,Burundi,DRC Even Zimbambwe sasa hv wanachukulia magari Dar.Project nyingine ni kuboresha reli zinazoingia Bandarini Meter gauge,Cape Gauge ile ya Tazara na SGR ambaye ujenzi wake kuelekea bandarini unaendelea soo soon zilikamilizika mambo yatakuwa Bambam.
 
Nyie mnafocuss na mambo za hovyo eti mnajenga gati ya kupokea magari wakati hamna gati za kutosha za kupokea containers hadi meli zinakuja kumwaga containers Mombasa badala ya kupanga foleni Dar. Badala ya kujenga gati maalum ya kupokea magari mngejenga gati ya kawaida tu ambayo ina uwezo wa kupokea both cargo and vehicles. Unajua berth ya kawaida pia ina uwezo wa kupokea magari. Sasa swali langu ni je wakati meli la magari halijawasili, hilo gati la magari linatumika kupokea containers au linakaa bure likingojea meli la magari kuwasili? Kama linakaa bure tu basi hapo hamkutumia akili.
 
Mama aambiwe ukweli, wanaokwamisha wapigwe chini bila huruma. Tuombe baraka za JPM huko aliko.
 
Hii ni sabotage ya baadhi ya maafisa wa bandari,serikalini na na wamiliki wa meli ndogo za kontena,kuna mtaliano ana meli yake ya kontena na mzee m1 mstaafu wa serikali upande wa znz meli zao zinapata kazi kihivyo kwa kwenda msa port kuchukua mizigo kama hiyo,now karibia miaka hata 10 msc awaleti meli dar zinaishia msa au maputo hlf meli za hao jamaa ndio zinapata kazi kufuata mizigo
 
Unazungumziaje ile moja ya meli kubwa zadi duniani iliyotia nanga bandari ya salama?
 
Kama utakumbuka mwakyembe akiwa waziri wa uchukuzi ndio alikua wa kwanza kupokea meli yenye mtr 250 kuingia dar port,na akaongelea namna watu wanavyodai meli kuanzia ukubwa huo aziingi dar port na akaongea hadi na pilot alieingiza ile meli,kukatulia,baadae tena likaanza zengwe lile lile,serikali iviondoe hivyo vimeli vya mstaafu,dar port meli yenye ukubwa hadi mtr 300 inaweza kuingia,na inaweza kuhusu loading na dischaging cargo kwa contena inawezekakana ndani ya masaa 10 na kwa dry cargo masaa siku 2 hadi 3,lakini utakuta meli inakaa hadi wiki na kule nje anchorage meli zinasubiri hadi wiki 2!
 
Asante kwa kutuarifu,wewe si si raia mzuri wa nchi jirani,unatoa siri mapema,huna kifua kabisa
 
Back
Top Bottom