size yako bombardierAiseeee mwenye guta sio saizi yangu humu [emoji125] [emoji125]
Starlet inakuhusu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mwenzenu napenda magari.
Member hawa nahisi wangekuwa kama ifuatavyo!
Mshana Jr - Buggati Veyron supersport
Hajar - Ferrari
Shunie - Zenvo SIT
Mzigua90 - Aston Martin one
Mr Miller - Honda fit
mahondaw - Toyota IST
Daby - Toyota vitz
mbalizi1 - Nissan March
Asprin - Toyota Passo
Kiranga - Greda kijiko la kuchota mchanga
Genta- Tingatinga /Kiberenge/
Shindilia la barabarani.
Hahahaaa hahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uuwiii... Chamdeko umeliamsha tena dudeMwenzenu napenda magari.
Member hawa nahisi wangekuwa kama ifuatavyo!
Mshana Jr - Buggati Veyron supersport
Hajar - Ferrari
Shunie - Zenvo SIT
Mzigua90 - Aston Martin one
Mr Miller - Honda fit
mahondaw - Toyota IST
Daby - Toyota vitz
mbalizi1 - Nissan March
Asprin - Toyota Passo
Kiranga - Greda kijiko la kuchota mchanga
Genta- Tingatinga /Kiberenge/
Shindilia la barabarani.
Ha ha ha ha ha... Yaani wewe kivitz kivp? Body ya nje au mambo ya ndani? Ebu mzee mwenzangu muombe akuweke wazihaha kwa hiyo mimi kivitz.... mshana ndiye anakupa jeuri eeeh?
kumbe nawe mkorofi eeeh.Demiss ungekuwa gari ungekuwa kagari ka mzigo.
Labda ka Suzuri Carry. Yaani ka Kirikuuππ
Katodo lakini kanabeba mizigo hiyo mnnh.
Ukimaindi poa tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka hapa nikutetee kakuonea mnohaha kwa hiyo mimi kivitz.... mshana ndiye anakupa jeuri eeeh?
Mzee huyu atakuwa kafundishwa kutumia Tunguli sasa ana jeuri.Ha ha ha ha ha... Yaani wewe kivitz kivp? Body ya nje au mambo ya ndani? Ebu mzee mwenzangu muombe akuweke wazi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Uzi umenisikitisha sana yani wanawake umewafananisha na magari alafu wanaume umewafananisha na usafiri