Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

Mzee huyu atakuwa kafundishwa kutumia Tunguli sasa ana jeuri.
Hata mimi naona.... Dawa ya tunguri lkn ndogo sana.... Just use olive oil regularly... Tunguri hazifanyi kazi... Nimekumegea kidogo Ukitaka zaidi njoo pm.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tusije tukataengeneza waganga wa kienyeji humu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mwenzenu napenda magari.

Member hawa nahisi wangekuwa kama ifuatavyo!

Mshana Jr - Buggati Veyron supersport
Hajar - Ferrari
Shunie - Zenvo SIT
Mzigua90 - Aston Martin one
Mr Miller - Honda fit
mahondaw - Toyota IST
Daby - Toyota vitz
mbalizi1 - Nissan March
Asprin - Toyota Passo

Kiranga - Greda kijiko la kuchota mchanga

Genta- Tingatinga /Kiberenge/
Shindilia la barabarani.
Tumosa atakuwa Peugeot 505 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom