Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

nguvu ya kwenye lami sio nguvu, milimani hamna kitu hizo....hapo kwenye bei ndio inaifanya ionekane gari nzuri wakati ni kawaida tu
Wee ulitaka niwe kibelenge mm mtoto lainiii kama hiyo gariii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…