Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha na amekubali kwa upole kweliNajua yani mule mule ila katika yote hapo kwa Genta nimecheka sana
hapana si nimeona picha nikajua umesahau na hako kaneno superspot kwanini nisikaweke sasaUnaweka chumvi
Balimi ndio nn?Umekunywa Balimi Leo?
Kiranga FiatMwenzenu napenda magari.
Member hawa nahisi wangekuwa kama ifuatavyo!
Mshana Jr - Buggati Veyron supersport
Hajar - Ferrari
Shunie - Zenvo SIT
Mzigua90 - Aston Martin one
Mr Miller - Honda fit
mahondaw - Toyota IST
Daby - Toyota vitz
mbalizi1 - Nissan March
Asprin - Toyota Passo
Kiranga - Greda kijiko la kuchota mchanga
Genta- Tingatinga /Kiberenge/
Shindilia la barabarani.
ndiooooUpo mkoani rafiki?
aisee sio kwa kumjali kihivyoKwa mshana tu ndugu
Alafu mlango ukifunga unabamiza spana na mavikorokoro ya ndani yanaangukaTatum- Landrover 109 used,Gia namba 1,2,3 zote zinafyatuka inabidi kushikilia,mafuta inanywea kwenye dumu yaani haina tank,Steering inaplay nusu mzunguko ndo inakata,duuh.