Songa Heri
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,724
- 1,873
Sijui kesho mtajifananisha na nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maaa wewe yako ipi!Mm mwenyewe kaniroga weee kanilisha limbwata
Ngosha nyie ni ShangingiMimi Kichaafulani ni Jeep Grand Cherokee
Ngoja nikuandalie mkoa mzuri nitakuja kucomment kwenye hiyo thread ikianzishwaMikoa
Nakupa masaa 48 ya kunitaka radhi wallahMwenzenu napenda magari.
Member hawa nahisi wangekuwa kama ifuatavyo!
Mshana Jr - Buggati Veyron supersport
Hajar - Ferrari
Shunie - Zenvo SIT
Mzigua90 - Aston Martin one
Mr Miller - Honda fit
mahondaw - Toyota IST
Daby - Toyota vitz
mbalizi1 - Nissan March
Asprin - Toyota Passo
Kiranga - Greda kijiko la kuchota mchanga
Genta- Tingatinga /Kiberenge/
Shindilia la barabarani.
Shangingi tukiwa kule home lakini kwa hapa mjini ni Jeep Grand Cherokee black metalicNgosha nyie ni Shangingi
Huyu chamdeko wako kuna kitu ananitafuta. Uchawi najua sitamuweza ila Albadir hatachomoka... shauri zake!Hahahaaa hahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uuwiii... Chamdeko umeliamsha tena dude
At Asprin nini vile? Kiranga je...