Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

Nipe konyagi na tonic basiiii niteme madini
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
hapanaa kwa sasaa kumbuka wewe ndio dereva hapa
don't drink and drive
 
Lakini yale magoli ya bale unazungumziaje?
Lile goli la kwanza la Bale liko fantastic... Lakini kapigiwa cross na Marcelo ambaye wakati Salah yumo Alikuwa hapandi... Unaona athari ya kumtoa Salah kwa 'dark tactics'?
 
Lile goli la kwanza la Bale liko fantastic... Lakini kapigiwa cross na Marcelo ambaye wakati Salah yumo Alikuwa hapandi... Unaona athari ya kumtoa Salah kwa 'dark tactics'?
Mzee baba ndio mpira ulivyo ,ndio maana kuna wakati wachezaji wanavunjika, kujeruhiana au hata kufa kbs. Huwezi kukwepa purukushani uwapo uwanjani vinginevyo cheza mdako tu

Madrid woyoooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom