Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

Aiseee hebu kanitag
nawaza heading ilikuwa nini
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Tatum- Landrover 109 used,Gia namba 1,2,3 zote zinafyatuka inabidi kushikilia,mafuta inanywea kwenye dumu yaani haina tank,Steering inaplay nusu mzunguko ndo inakata,duuh.
 
Back
Top Bottom