Mchicha Makunyazi
Member
- Mar 10, 2018
- 23
- 13
Hata sijui [emoji23][emoji23]Unacheka unafurahi?
Muone [emoji23]Hata sijui [emoji23][emoji23]
Miss you too mpaka nahisi njaa jamani, vipi pande zako huko wanasema nini?Safiiii mithi uuuuu
demiss ungekuwa bajajiMwenzenu napenda magari.
Member hawa nahisi wangekuwa kama ifuatavyo!
Mshana Jr - Buggati Veyron supersport
Hajar - Ferrari
Shunie - Zenvo SIT
Mzigua90 - Aston Martin one
Mr Miller - Honda fit
mahondaw - Toyota IST
Daby - Toyota vitz
mbalizi1 - Nissan March
Asprin - Toyota Passo
Kiranga - Greda kijiko la kuchota mchanga
Genta- Tingatinga /Kiberenge/
Shindilia la barabarani.
Aah! na baridi la huko nalijua huwa korofi sana ... poleni na hongereni piaTupo tumejaaaa teleeeeeeee baridi kwa sana
Inshaalah!!Tanteeee tuombe uzima nami nije kuonja raha ya dar
Hahahahaha ya kule kwetu moshi