Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

Sitakiimani, nataka ujuzi.

Wewe hata upagani huelewi maana yake nini, unatumia neno visivyo.
 
Sitakiimani, nataka ujuzi.

Wewe hata upagani huelewi maana yake nini, unatumia neno visivyo.
Tatizo Mtumishi Kiranga ni kuwa huna ujuzi...
Uneng'ng'ana na kumkamtaa Mungu bila sababu ya msingi..T
Sitakiimani, nataka ujuzi.

Wewe hata upagani huelewi maana yake nini, unatumia neno visivyo.
Huna ujuzi.Tatizo lako umeng'ang'ania ubishi bila sababu za msingi.Una ubishi fulani usio na tija na wala haumjengi mtu kimawazo.
 
Tatizo Mtumishi Kiranga ni kuwa huna ujuzi...
Uneng'ng'ana na kumkamtaa Mungu bila sababu ya msingi..T

Huna ujuzi.Tatizo lako umeng'ang'ania ubishi bila sababu za msingi.Una ubishi fulani usio na tija na wala haumjengi mtu kimawazo.
Mungu gani? Wa contradictions?
 
Hapana, ningechosha usingenijibu.
Baba Mchungaji Kiranga ungekuwa na Kanisa nadhani waumini wote wangekuKimbia ukabaki wewe na mkeo tu.
Afadhali ata Kibwetere pamoja na kuwa alikuwa na imani potofu ila alikuwa na nguvu ya ushawishi.

Ukisikiliza watu wa Budha au Christian Scientology au Free Mason unaweza kujifunza chochote.Ila ukimskiliza Kiranga unatoka patupu.
 
Mimi ningekuwa Porsche Cayman nimo na confident and good looking
I am fast and powerful na kila nikipita lazima uniangalie
 
Mshana -passo
Demiss- Hilux old model
Mzigua - Forte
madam S - IST
Kritika- Vitz
Jolie na Hazard - IST
Yna 4 - Toyota Crown
MBITIYAZA - carina
Mumu - Noah
Miss natafuta- mark II
 
Mshana -passo
Demiss- Hilux old model
Mzigua - Forte
madam S - IST
Kritika- Vitz
Jolie na Hazard - IST
Yna 4 - Toyota Crown
MBITIYAZA - carina
Mumu - Noah
Miss natafuta- mark II
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…