Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Sitakiimani, nataka ujuzi.Nabaki na imani yangu na wewe endelea na yako.Sikuwa na nia ya kukupinga kuhusu upagani wako.Nilitaka tu kujua mambo mbali mbali ambayo bado ni kiza kwa binadamu wengi mathalani hatima yetu baada ya kifo na uumbaji wa ulimwengu.Nakushukuru kwa majibu yako mazuri na marefu ingawa kimsingi hakuna jipya la maana nililojifunza.
Wewe hata upagani huelewi maana yake nini, unatumia neno visivyo.