Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uje unifundishe ssHujui kudekezaaa weyeeew
aisee basiii na mimi ngoja nivumuiliee labda nitapewa raha kama hizo na atakaekujaAna rahaaaa si kidogooo atiiiii
ndio wa kuniambia mimi gari lile kwelii mahaba hayaaAcha hizoooo hahahah mwenyewe keshajibu
nguvu ya kwenye lami sio nguvu, milimani hamna kitu hizo....hapo kwenye bei ndio inaifanya ionekane gari nzuri wakati ni kawaida tuIla zina nguvu sana halafu bei imechangamka
mimi ni Nissan patrol superspotNissan patrol nakutumia picha yakeee
hapoo sawa hata Bugatti nimeifunika kwa ukubwa na kikubwa zaidi haiwezi offroadHapooo je?View attachment 787922
wee achaa tuu full homa kila kukichaa kisa DemissAiseeeee ulinimiss sana eeeh nasikia mpaka ukaumwaaa
niliumwa sanaa return yako ndio dozi yangu kwa sasaAiseeeee ulinimiss sana eeeh nasikia mpaka ukaumwaaa
Mhhhh... Naona hio kazi ya kukuelekeza nimuachie Mshana jr [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha nitaanzaje sasa kutengua?
Mabingwa wa mieleka sio footballMadrid woyoooooooooooooo
HahahaaaMabingwa wa mieleka sio football
Mhhhhhh.... Ndo maana nikamwambia Demiss aje kutengua 'tunguli zako' [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaaa mwanaume mashine [emoji125] [emoji125] [emoji125]