Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

Aaah, umenipandisha chati.

Mimi Lada, gari la Kirusi, haliamini kuwapo kwa Mungu.

Unalikumbuka Lada?

332d2e9791f149b7993c4ba2f7b56cf2.jpg
Waooooo NIVA the best friend of mine during those days.
 
Kama unalikumbuka Lada Niva wewe umekula chumvi. Nakumbuka warusi waliyaleta sana Bongo.
Mkuu hii gari niliipenda sana kwa enzi zetu nadhani ilikuwa imekamilika 6Gears manual transmission,4WD,Hi/Low with a sweet mneso from those Coill Springs.
 
Back
Top Bottom