Baadhi ya miradi iliyotekelezwa na Dr. Samia mkoani Mbeya

PIUS PASTORY

Member
Joined
Aug 22, 2025
Posts
36
Reaction score
18
Sekta ya Barabara

Mkoani Mbeya, ujenzi wa barabara hii ya lami unatarajiwa kurahisisha usafiri wa bidhaa na abiria, na kuchochea uchumi wa maeneo hayo.

Ukarabati wa Barabara za Mijini Mbeya, Mji wa Mbeya umenufaika na ukarabati wa barabara za ndani, ambazo zimetengenezwa kwa kiwango cha lami ili kupunguza msongamano na kurahisisha
usafiri kwa wananchi.

Mfano ni barabara za katikati ya mji na zile zinazoelekea kwenye masoko makubwa.

Barabara ya Mbeya - Mpanda
Imetumia Kiasi cha Fedha: TZS 52.4 bilioni
Kwa Urefu: 114.7 km
Maelezo ya Ziada: Mradi huu umetekelezwa chini ya TANROADS Mbeya na umefunguliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan mnamo Desemba 2022.
 
Umeacha mradi mmoja wa mateso na utekaji wa Mdude Nyagali. Kama yupo "attributed" na mengi mazuri, mabaya pia yanamuhusu moja kwa moja.
 
Bado haujajua namna ya kujipamba miradi.Ulitakiwa uwe "elastic" kwenye maelezo na unogeshaji kwa mpokea taarifa.
 
Mlimba-Kilosa inahusiana vipi na Mkoa wa Mbeya?
Inaonesha taarifa nzima ni ya uongo uongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…