Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sisi mabaharia,,, mtanzania ndio mtu mwenye ujasiri wa kupiga meli na kuishtakia bahari (kuzamia meli) bila kujua hiyo meli inakwenda wapi na muda wa siku ngapi, na huko anakokwenda akatoboa kimaisha vile vile,, so huu uoga unaozungumzia hapa sijui uoga wa dizaini gani,, au labda unajua watanzania wote wanatokea kwenu mwakaleli.Tanzania: Most of people's kutoka Tanzania wengi ni waoga Sana
Ukarimu wao wa kinafki. Watanzania wanafki sana!Watanzania ni watu wakarimu sana na wenye ujamaa kuzidi taifa lolote Africa.
Wote hao ushakutana nao? Umetisha1)Nigeria watu wa Nigeria ni wapambanaji saana
2)Warundi na RCA ( republic centre african) hawa watu hawajiamini kabisa
Cameroon most of people's kutoka Cameroon ni watu wenye kiburi saana watu wenye kujiona kuwa ni bora kuliko wengine
Ivory coast: Wacheshi saana
Kenya and Egypt: Ni watu ambao wanajikubali saana
DRC ni watu ambao wanapenda sifa sana
Burkinafaso: Waongo saana
Uganda ni watu na bahati zao hawa
Tanzania: Most of people's kutoka Tanzania wengi ni waoga Sana
Rwanda: Most of people's kutoka Rwanda ni watu wenye akili
Tutaendelea kesho acha ni pumzishe fuvu langu
watanzania ni watu ambao hatujikubali na mfano mzuri ni hii thread yako.1)Nigeria watu wa Nigeria ni wapambanaji saana