Baadhi ya nchi za Afrika na tabia za watu wao

Tanzania: Most of people's kutoka Tanzania wengi ni waoga Sana
Kwa sisi mabaharia,,, mtanzania ndio mtu mwenye ujasiri wa kupiga meli na kuishtakia bahari (kuzamia meli) bila kujua hiyo meli inakwenda wapi na muda wa siku ngapi, na huko anakokwenda akatoboa kimaisha vile vile,, so huu uoga unaozungumzia hapa sijui uoga wa dizaini gani,, au labda unajua watanzania wote wanatokea kwenu mwakaleli.
 
Waafrika wote wanaakili za kufanana.
Hayo uliyoandika ni sifa ya mmoja mmoja ambazo naweza kuzipata kwenye nchi yoyote afrika.
 
Wote hao ushakutana nao? Umetisha
 
watanzania ni watu ambao hatujikubali na mfano mzuri ni hii thread yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…