Kimsingi kabla hujafikiria kutengeneza app yoyote, ni lazima kwanza ujue una lenga kutatua tatizo lipi hasa. Unafanya uchambuzi wa tatizo, solution unayotoa..na kwa namna gani itaondoa au kupunguza tatizo.Uko sahihi mkuu, nini maoni yako kuhusu app ya kukutanisha wapangaji na wenye nyumba regarding your view
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia playstore uone jinsi kulivyo na app nyingi ambazo hazina download hata 10 zaidi ya miaka kadhaa.Hakuna jambo gumu hapa duniani ni wewe kuamua tu amini ninachokuambia brother.
Usijikatishe tamaa, mimi nimetoa wazo ambalo nimeshalifanyia utafiti brother usiniulize kwanini sijafanya.Ingia playstore uone jinsi kulivyo na app nyingi ambazo hazina download hata 10 zaidi ya miaka kadhaa.
Biashara ya app siyo tu kujua ku develop nankujifungia una develop app na kuiweka play store umemaliza. Biashara ya app biashara kubwa ambayo inahitaji mamillion ya fedha na business plan nzuri.
Vijana wengi wanakwama kwa sababu anadhani akijua ku develop app tu basi amemaliza. Mwisho wa siku wanaangukia pua.
Vizuri, watajua makosa na mazuri yao kupitia wewe kama mfano na wengine watakao enda na pia watajua ni wapi warekebishe maana hata mpango wa elimu unataka hivyo.Mi mwezi ujao nitaenda kuwaambia lile darasa letu tuliomaliza miaka ile nusu tuko majobless tunapiga roba za mbao huko mtaani na tukijitahidi sana tunakua waendesha bodaboda kwa mkataba na boss.
Ndio maisha yetu hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tatizo waende tu ktk shule walizomalizia elimu zao ili wajue hawana uwezo wa kutengeneza vijana wenye uwezo wa kupambana na soko la ajira.Wasomi wengi mkuu wameshakata Tamaa kwani , kwan matarajio yao yamekua tofauti , unavyoendelea kuandika haya unazidi kuwachanganya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
"Biashara ni kutengeneza fursa na sio kutatua shida "Biashara ni kutengeneza fursa sio kutatua shida maana kutatua changamoto ni kazi ya Serikali sio biashara bali huitwa ustawi kwa wote.
Fanya tafiti, tengeneza hiyo Mobile App kiasi ingia field wewe mwenyewe utaniambia itakavysound vizuri Brother. Shida vijana hamfanyi tafiti mnataka kufanya kitu ambacho mpate sifa kwa jamii na huku huingizi chochote. Vijana wenzenu wanamake kwa kutengeneza hizo hizo Mobile App za wauza Kuku na Keki huku Mkoani na maisha yanaenda poa.
Haahaa, acheni mawazo hasi vijana pambaneni kila jambo linawezekana.
Mkuu iMind unayoongea ni kweli lakini ninapna una hofu sana ushindani ni lazima uwepo na ubunifu na marketing ndio solutionIngia playstore uone jinsi kulivyo na app nyingi ambazo hazina download hata 10 zaidi ya miaka kadhaa.
Biashara ya app siyo tu kujua ku develop nankujifungia una develop app na kuiweka play store umemaliza. Biashara ya app biashara kubwa ambayo inahitaji mamillion ya fedha na business plan nzuri.
Vijana wengi wanakwama kwa sababu anadhani akijua ku develop app tu basi amemaliza. Mwisho wa siku wanaangukia pua.
Saidia Baba nchi yako, huwezi jua ya kesho.mkuu uwafuate hao hao wanaolia mishahara kiduchu hivyo waongezewe unafikiri watakusaidia nini, na ndiyo haohao walikua wanaombea mfeli wakiamini serikali itawaongeza mshahara ili waongeze juhudi za kufundisha, me naona hakuna msaada wowote utakaoupata kutika Kwa hao walimu sijui
Au aongeze kijiwe cha kahawa
Chakula no coz me nina kazi zangu nahitaji biashara ya kuweka vitu ili auze sio me niuze