Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

Kwa kweli somo hili nimelipenda sana. Kumbe kama hatuzingatii maswala fulani fulani tunaweza tukawa masikini wa kutupwa
 
Shukrani xn, Tuishi humu tutatoboa 2
 
Hi nimeipenda
 
Kiukweli uchaguzi wa wazo la biashara unataka mtu utulie usikurupuke tu. Ujipe muda wa kutafakari, kuchambua, nk. Kuna kina sisi tunasema hivyo hivyo tu mwkshowe tuna anguka tena
 
Kiukweli uchaguzi wa wazo la biashara unataka mtu utulie usikurupuke tu. Ujipe muda wa kutafakari, kuchambua, nk. Kuna kina sisi tunasema hivyo hivyo tu mwkshowe tuna anguka tena
Woow umenipa njia asee ubarikiwe
 

Hili mada ilishawahi kutolewa kwenye mtihani, somo la Entreprenuership
 
Ujue nakukubali sana CHASHA.
Welcome! Our services include:

  • Web design
  • Logo design
  • Online business or company registration
  • Airline and Bus ticketing (Domestic & International)
  • Passport and Visa Registration
  • Studying abroad programs
  • Online imports and export services
  • And other IT related services
 
Wengi wetu tunashindwa kutumia vyema ujuzi tulionao.
 
Nimeupitia uzi huu na michango mingi ya membars wa humu,hakika nimefarijika sana na kugundua kuwa kazi ya kuajiriwa ni utumwa,
Mbarikiwe wote mlioshusha nondo humu na kututia moyo,hakika nimejikuta naondokana na hofu ya kupoteza kazi na sasa najipanga pia kuchoma meli na yajayo nitajua hukohuko mbele ya safari.
 
Sasa kama utabakiwa na mtaji wa peremende huon tayar umeingia kwenye biashara?hapo utahtaji kutanua mtaji wako tu,na si kutafta mtaj tena
 
SAJILI kampuni;
Anna lupins hela; uhakika

Kwa Ushauri nitafuteni 0788104228
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…