Elections 2010 Baadhi ya njia zitakazo tumika kuvuruga uchaguzi na ccm

upele

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2010
Posts
364
Reaction score
31
:A S-danger:BAADHI YA NJIA ZITAKAZO TUMIKA KUVURUGA UCHAGUZI NA CCM.
1.KUWAKAMATA VIJANA KWA KOSA LA UZULULAJI(HASA KTK MAENEO AMBAYO WAPINZANI WAPO) ILI KUPUNGUZA IDADI YA KURA ZA WAPINZANI
2.KUTUMIA ASKARI ILI KUTAWANYA WATU KWA NGUVU WAKISEMA WAPINZANI WANALETA FUJO ENEO LA KUPIGA KURA(WAKITUMIA SIRAHA NA MABOMU YA MACHOZI)BILA KUSAHAU MAJI YA KUWASHA
3.KUVAA SARE ZA WAPINZANI ILI KUZUGA KAMA WAPINZANI NDIYO WAVURUGAJI WA UCHAGUZI
4.NAMENGINEYO AMBAYO NI MAKALI ZAIDI NAOGOPA KUWAELEZA MAANA ITAKUWA NAWATIA PRESSURE.
WANA JF-WAKATI NDIYO HUU WAKUFANYA MABADILIKO ILA DAMU LAZIMA IMWAGIKE KA SERA YAO
cONQUEST-JINO KWA JINO ILA JICHO LANGU MUHIMU ZAIDI YA PESA.
 
Kuchakachua , kuiba, kuwanunua watu kwa kutumia fedha walizoiba za epa na kutengeneza kadi feki za kupigia kura km walivyo fanya mbeya..............
 
watatumia mbinu zinazoonekana na zisizooneka
 
:A S-danger:BAADHI YA NJIA ZITAKAZO TUMIKA KUVURUGA UCHAGUZI NA CCM.
1.KUWAKAMATA VIJANA KWA KOSA LA UZULULAJI(HASA KTK MAENEO AMBAYO WAPINZANI WAPO) ILI KUPUNGUZA IDADI YA KURA ZA WAPINZANI
2.KUTUMIA ASKARI ILI KUTAWANYA WATU KWA NGUVU WAKISEMA WAPINZANI WANALETA FUJO ENEO LA KUPIGA KURA(WAKITUMIA SIRAHA NA MABOMU YA MACHOZI)BILA KUSAHAU MAJI YA KUWASHA
3.KUVAA SARE ZA WAPINZANI ILI KUZUGA KAMA WAPINZANI NDIYO WAVURUGAJI WA UCHAGUZI
4.NAMENGINEYO AMBAYO NI MAKALI ZAIDI NAOGOPA KUWAELEZA MAANA ITAKUWA NAWATIA PRESSURE.
WANA JF-WAKATI NDIYO HUU WAKUFANYA MABADILIKO ILA DAMU LAZIMA IMWAGIKE KA SERA YAO
cONQUEST-JINO KWA JINO ILA JICHO LANGU MUHIMU ZAIDI YA PESA.

Hii ni kazi ya kamati ya ushindi ya CHADEMA.
Take this into consideration.
 
Watamtumia na Shekhe Yahya katika wizi "nguvu isiyoonekana". Bip up CCM
 
Ina maana CCM wanataka kuendelea kutawala kimabavu? Kama watathubutu kufanya hivyo basi nchi itaingia kwenye machafuko makubwa na wao watabeba lawama. Kuna dalili zote sasa kwamba Watanzania wameamka na wanataka mabadiliko. CCM wameshajua kwamba wanaelekea kupata anguko kubwa, kwa hiyo watafanya lolote kuhakikisha wanabaki madarakani. Inabidi Watanzania wote wanaotaka mabadiliko kujiandaa kwa lolote.
 
mnaogopa kivuli chenu

mtAlia sana mwaka huu

jiliwazeni kwa visababu vile vile kwa kila uchaguzi
 
:A S-danger:BAADHI YA NJIA ZITAKAZO TUMIKA KUVURUGA UCHAGUZI NA CCM.
1.KUWAKAMATA VIJANA KWA KOSA LA UZULULAJI(HASA KTK MAENEO AMBAYO WAPINZANI WAPO) ILI KUPUNGUZA IDADI YA KURA ZA WAPINZANI
2.KUTUMIA ASKARI ILI KUTAWANYA WATU KWA NGUVU WAKISEMA WAPINZANI WANALETA FUJO ENEO LA KUPIGA KURA(WAKITUMIA SIRAHA NA MABOMU YA MACHOZI)BILA KUSAHAU MAJI YA KUWASHA
3.KUVAA SARE ZA WAPINZANI ILI KUZUGA KAMA WAPINZANI NDIYO WAVURUGAJI WA UCHAGUZI
4.NAMENGINEYO AMBAYO NI MAKALI ZAIDI NAOGOPA KUWAELEZA MAANA ITAKUWA NAWATIA PRESSURE.
WANA JF-WAKATI NDIYO HUU WAKUFANYA MABADILIKO ILA DAMU LAZIMA IMWAGIKE KA SERA YAO
cONQUEST-JINO KWA JINO ILA JICHO LANGU MUHIMU ZAIDI YA PESA.

leo nimenyaka moja ambayo kuna tetesi kuwa wanafunzi ambao wapo boarding schools kupewa vitambulisho vya kupiga kura wale ambao wanaonekana kuwa na zaidi ya umri wa miaka 18 kimaumbile ama ambao hawakuandikishwa hii na maneno kutoka kwa wanafunzi wa shule moja huko maeneo ya kaskazini mwa tanzania mkoani arusha
 
nawambia sasa hivi mpaka machizi watapewa vitambulisho ili mradi washinde jamani jamani tujiadhali hiyo siku haya mimi ninawqasiwasi na uchungu kwa akina mama maana wapinzani wake au mama zao watakapo butuliwa kama mpira wa adhabu,jamaa wamepangia kata funua mpaka tushinde,
Conquest-uwoga wa kunguru kuishi miaka mingi
 
Haingii akilini watu wana-promote demokrasi wawe hao hao waku-baka demokrasi...
 
Hiyo isiwe sababu kubwa ya watu kuogopa, Watanzania wamechoka na JK.....

tutapambana mpaka kieleweke.. CCM lazima waondoke..
 
Hivi na hili jambo la wanavyuo likoje,kura wanapigaje,au ruksa kupiga kituo chochote?
 
Kwa hiyo kama CCM wataiba kura na kushinda kwanini Chadema washiriki uchaguzi? Mbona Chadema wanajitabiria kushindwa hata kabla ya uchaguzi? Hivi huku sio kuwakatisha tamaa wana Chadema wenye moyo na nia ya kushinda? If you know you are fighting to lose why bother?
 
Back
Top Bottom