Baadhi ya ofa atakazopata Neymar huko Uarabuni

Ukisikiliza Interviews za MBS jamaa ana maono ya kubadilisha Middle East iwe kisasa zaidi.
 
hawa jamaa wana hela aisee... maana hakuna return.. its like wanapesa nyng hazina kazi so wana sajili for fun, financial fair play haiwez ku apply huko
 
Jamaa wana pesa ndefu aisee, ila bado mpira upo ulaya.

Wachina nao hapo kati walinunua nunua wachezaji wakubwa ila bado hawakuipiku ulaya.

Acha tuone hawa wazee wa fuba kama ligi yao itakua bora.
 
Ile sheria ya pesa za usajili england ni taaamu saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…