Waendeleee tu na mipango yao ya kuipindua Ulaya. Ulaya na sasa hawa Waarabu wote lao moja; kutupeleka kuleeee...kwenye NWO kuliko na dini moja feki, na hata japo hizi zilizopo zitaendelea kuwepo ila zitakuwa feki sana (Ukristo oya oya, Uislamu tia maji tia maji,n.k).
Hawa Athletes wanaenda Saudia ,palipo na kitovu cha Uislamu, wakiwa na lifestyles zao ambazo hawataziacha (japo baadhi ya hao wenye majina makubwa watasilimu na kujiunga na dini ya haki, ila upagani wao mwingi hawataziacha na wataupandikiza ndani ya maisha ya Waislamu). Saudia inaenda kuwa na Uislamu wa hovyo sana.