realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa wamelalamika kuhusu Single Mother kuwa Mwiba kwenye familia zao na kuhatarisha malezi ya watoto.
Wameongeza kuwa watu hawa wamekusa huruma hadi kufikia hatua ya kuwachukua wanaume wa familia moja kwa moja kwa kuwahonga vitu mbalimbali.
Wanawake hao wameenda mbali zaidi kwa kuwaomba waache mara moja tabia hiyo kwa wanaume walioko kwenye ndoa na kuwataka wanaume hao kujishughulisha na kuhudumia familia.