NGOSWE2
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 1,323
- 1,608
Hata wanaume wanawatafuta sana wake za watu, wanadai mke wa mtu hakupi pressure.Baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa wamelalamika kuhusu Single Mother kuwa Mwiba kwenye familia zao na kuhatarisha malezi ya watoto.
Wameongeza kuwa watu hawa wamekusa huruma hadi kufikia hatua ya kuwachukua wanaume wa familia moja kwa moja kwa kuwahonga vitu mbalimbali.
Wanawake hao wameenda mbali zaidi kwa kuwaomba waache mara moja tabia hiyo kwa wanaume walioko kwenye ndoa na kuwataka wanaume hao kujishughulisha na kuhudumia familia.