Baadhi ya single mothers wenye pesa chanzo cha kuvunja ndoa za watu

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa wamelalamika kuhusu Single Mother kuwa Mwiba kwenye familia zao na kuhatarisha malezi ya watoto.

Wameongeza kuwa watu hawa wamekusa huruma hadi kufikia hatua ya kuwachukua wanaume wa familia moja kwa moja kwa kuwahonga vitu mbalimbali.

Wanawake hao wameenda mbali zaidi kwa kuwaomba waache mara moja tabia hiyo kwa wanaume walioko kwenye ndoa na kuwataka wanaume hao kujishughulisha na kuhudumia familia.
 
Hahahaaaa

Soko huria
 
 
Mkuu bila shaka wewe umeibiwa mumeo, unakuja kuomba ushauri hapa JF πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Nenda kwa mwamposa ni suhulisho πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Eti single mama wenye pesa πŸ—Ώ

Ule msemo wa hapendwi mtu inapendwa pochi imegeuka ghafla.
 
Sasa kama wake wa ndoa wana maringo, kejeli, vijembe na dharau kwa nini nisiende tulizana na single mother nipate amani ya moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…